HABARI zilizotufikia hivi punde kwa ufupi, zinaeleza kuwa, yule daktari ambae alikamatwa tena na Jeshi la Polisi mkoa wa kaskazini Pemba, akidaiwa kumtorosha na kumbaka mtoto mwenye miaka 16, mata tatu, amepandishwa mahakamani leo Mei 18, mwaka huu.
Na hivi tunazungumza daktari huyo anavuta pumzi zake akiwa rumande.
kwa habari zaidi kuhusiana na habari, endelea kutufuatilia kupitia www.pembatoday.blogspot.com maana kukuhabarisha ni fahari yetu.....
Comments
Post a Comment