Skip to main content

Posts

Showing posts with the label WANAWAKE NA UONGOZI

IDADI YA WANAWAKE WATIA NIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI 2025, YAWA TOFAUTI NA YA 2020

  Na Amrat Kombo, Zanzibar @@@@ UPEPO wa mabadiliko unaendelea kuvuma katika siasa za Zanzibar, safari hii ukivumisha na sauti ya mwanamke.  Kadri Uchaguzi Mkuu wa 2025 unavyokaribia, idadi ya wanawake wanaotia nia kugombea nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi imeongezeka kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na mwaka 2020. Ni dalili ya ujasiri, elimu na hamasa ya kijinsia katika uongozi wa kitaifa ,ishara kwamba wanawake sasa wanajitokeza kwa kujiamini zaidi kushika hatua za maamuzi. Mwelekeo huu si wa bahati, bali ni matokeo ya juhudi za muda mrefu za serikali, mashirika ya kiraia na jumuiya za kimataifa kuhimiza usawa wa kijinsia katika uongozi. Kwa mujibu wa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2020, Zanzibar ilirekodi idadi ndogo ya wanawake waliofanikiwa kushinda nafasi za uongozi. Kati ya wagombea wa ubunge walioteuliwa na vyama, wanaume walikuwa 257 na wanawake 81, ambapo wanawake walioweza kushinda walikuwa wanne pekee. Lakini mwaka 2025 hali imebadilika. Tume ya Uchaguzi ya ...