Skip to main content

Posts

Showing posts with the label WANAWAKE NA MICHEZO

WADAU WATAJA DARZENI YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKWAMISHA WATOTO WA WAKIKE MICHEZONI

  HABIBA ZARALI, PEMBA@@@@ MICHEZO ni sehemu muhimu katika utamaduni wa kila jamii ya binadamu kote duniani. Michezo iko ya aina nyingi, ambayo jamii ya makabila tofauti hushiriki kutokana na utamaduni walionao na kwa madhumuni tofauti. Pamoja na michezo kuwa na faida lukuki, ikiwemo kupata ajira,   kujenga afya ya mwili na akili, kuburudisha, kuelimisha, kutambulisha, kujenga ukakamavu, kuonesha vipaji na kujenga urafiki, lakini bado jamii iko nyuma kwa hilo. Ingawa hakuna tamko linaloonesha kuwa watoto wa kike hawapaswi kushiriki katika michezo, ingawa bado hali haijaridhisha. Sera ya maendeleo ya michezo 2018 imeonesha hali ya sasa tangu kuanzishwa kwa wizara yenye dhamana ya michezo na baraza la michezo la taifa, maendeleo katika maeneo mbalimbali ya michezo yamepatikana. Sera hiyo haikumbaguwa mtu yoyote kushiriki michezo na kuonesha kuwa, michezo mingi mipya imaenzishwa na kuleta mafanikio makubwa kulingana na vipaji na uwezo walionao wananchi. Ambapo nayo ...