HABARI za hivi punde zilizotufikia zinaeleza kuwa, Jeshi la Polisi mkoa wa kaskazini Pemba, limemkamata tena yule dakatari wa kituo cha afya Gombani Chake chake, baada ya kumuachia kwa dhamana wiki iliyopita
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa, daktari huyo amekamatwa tena na wakati wowote atafikishwa mahakamani.
Ili kuendelea kujua kisa na mkasa huu endelea kutufuatilia sisi www.pembatoday.blogspot.com maana kukuhabarisha ni fahari yetu
Comments
Post a Comment