Skip to main content

Posts

Showing posts from July 9, 2023

Africa Drive for Democracy 2023: Exploring the Impact of Social Movements on Democratization

   As Africa weathers existential challenges that significantly threaten her future democratic trajectory, including declining commitment to good governance, weakened solidarity, and resignation to neoliberalism, the urgency to address critical issues and foster sustainable democratic progress is paramount. Against this backdrop, the Africa Drive for Democracy Elders Retreat and Annual Conference, slated for July 17-21, is being held to facilitate meaningful dialogue, engage grassroots movements, provide opportunities for collaboration and innovation in order to deliver on democratic dividends and relieve citizens’ despondency. This annual gathering of the continent’s pro-democracy community in Arusha, Tanzania, brings together delegates from more than 45 African nations, comprising former Heads of State, scholars, leaders of political parties, movements, and professional associations, and active citizens. The Africa Drive for Democracy week will commence with the inaugural Elders Retr

WADAU WA KUPINGA UDHALILISHAJI PEMBA WANG'AKA

  NA HANIFA SALIM, PEMBA WADAU wa kupinga udhalilishaji Kisiwani Pemba wamesema, kukimbizwa kwa watuhumiwa hususani kesi za wanafamilia na kesi ikawa ndio mwisho wake huku jamii ikilalamika kwamba askari wanachangia kuchelewa kufuatilia ni miongoni mwa changamoto walizokumbana nazo wakati wa utendaji wa kazi zao. Waliyasema hayo katika kikao kazi cha kuwasiliasha ripoti kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Juni mwaka huu kwa kamati za kupinga udhalilishaji Kisiwani humo, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ya Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Mkanjuni Chake chake. Afisa ustawi wa Wilaya ya Wete Salma Saleh Hamad, akiwasilisha ripoti ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwa kipindi cha miezi sita, alisema kuchelewa kwa kipimo cha DNA na rushwa muhali bado pia ni changamoto kubwa kwa jamii.  Alisema, malalamiko 64 ya matunzo na mvutano wa malezi yaliripotiwa katika kitengo cha ustawi wa jamii, ikiwemo 39 ya matunzi ya watoto na 25 ni mvutano wa malezi, ambapo malalamiko hayo yali