Skip to main content

Posts

Showing posts with the label ZNCC NA BARCODE

ZNCC: YAWAKUMBUSHA WAJASIRIAMALI KUZISAJILI BIDHAA ZAO

    NA HAJI NASSOR, PEMBA@@@@ WAJASIRIAMALI kisiwani Pemba, ambao bado hawajazisajili biashara zao, wame kumbwa kufanya hivyo haraka, ili wawe na sifa wakati wanapoomba misaada ama kuingia, katika mashindani mbali mbali. Ushauri huo umetolewa leo Septemba 18, 2025 na Mkurugenzi mtendaji wa Jumuiya ya kitaifa ya wafanyabishara Zanzibar ‘ZNCC’ Hamad Hamad, alipokuwa akizungumza na wajasiriamali hao, wakati akiyafungua mafunzo, ya umuhimu wa usajili wa majina ya biashara na bidhaa zao, yaliyofanyika ukumbi wa Manispaa Chake chake. Alisema, njia moja kwa wajasiriamali hao kufikia ndoto zao, suala la kusajili bidhaa zao na majina ya biashara, haliepukiki, ikiwa wana malengo ya kufika mbali. Alisema, unapoisajili biashara na jina la biashara, huwa ni kuilinda na kujihakikishia kuipandisha hadhi, kama zilivyo kwa biashara nyingine za makampuni. ‘’Niwatake haraka sana, ambao hawajajisajili ‘BPRA’ kufanya hivyo, maana kinyume chake, jina la bidhaa zako ambazo zimeshakuwa maarufu ...