Skip to main content

Posts

Showing posts from January 26, 2025

MWAMBE MKOANI IN PEMBA ISLAND: CHILDREN FORCED TO A LIFE OF STONE CRUSHING

By HAJI NAASSOR, PEMBA@@@@   It is about an hour-and-a-quarter drive from Chake Chake town to Mwambe village in Mkoani District in the Southern Region of Pemba Island within Zanzibar country.   The village of Mwambe is located in a rocky area but is more fertile than the surrounding villages. It has three shehias, known here as Jombwe, Mwambe and Mchakwe.   The village has a population of 19,525,(2022 census) half of them children. Its people survive on agriculture growing beans for local consumption, and citrus and bananas to sell.   It has its own primary and secondary schools and a health centre that provides various medical services.   Besides, agriculture, the villagers are also engaged in fishing, stone crashing and mining. Since Mwambe is rocky, most people, especially the elderly and children, are involved in quarrying stone for sale.   The stone crashing business has forced many children to abandon school to earn money but this is taking its toll o...

VIFUNGU SHERIA YA TUME YA UTAANGAZAJI NAMAAJABU YAKE KUELEKEA UHURU WA HABARI ZANZIBAR

  NA HAJI NASSOR, PEMBA@@@@ ZANZIBAR kama ilivyo eneo jingine lolote ulimwenguni, nayo inavyo vyombo vya habari, ambavyo maudhui yake ni sawa na vile vya mataifa mingine. Kazi za msingi za vyombo vya habari ni kuelemisha, kuburudisha na kuhabarisha ingawa kwa pia ni kukosoa, kupongeza na kuhoji. Kazi hii hasa ni haki ya kikatiba, katika nchi kadhaa, kwa mfano Zanzibar katiba yake ya mwaka 1984 kifungu cha 18 na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara 18 imeelezea haki hii. Kama hivyo ndivyo, unaweza kushangaa kuwa suala la kutoa, kupata na kusambaaza habari ni haki ya kikatiba, sasa iweje kutungwe sheria yenye vifungu au maneno, yenye ukakasi kwa waandishi wa habari. SHERIA YA TUME YA UTANGAAZAJI ZANZIBAR NO 7 YA MWAKA 1997 Sheria hii ambayo sasa inatimiza umri wa miaka 29, tokea pele ilipotiwa saini na Rais wa wakati huo wa Zanzibar Dk. Salmin Amour Juma, licha ya kufanyiwamarekebisho. Kwa hakika, lengo kuu la sheria hii, ni kuongoza vyombo vya habari Zanzibar ...

UPATIKANAJI SHERIA MPYA YA HABARI, WADAU WAHARAKISHA

  NA HAJI NASSOR, PEMBA@@@@ NI takriban miaka 20 sasa, shauku ya waandishi wa habari pamoja na watetezi wengine wa haki za binaadamu Zanzibar, kuona nchi yao inapata sheria rafiki za habari imekuwa ikitimizwa kwa maneno.  Viongozi wa ngazi mbalimbali serikalini, wamekuwa wakitoa ahadi lakini utekelezaji wake unasuasua. Tangu alipoingia madarakani, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekuwa akionesha kutambua umuhimu wa sekta ya habari kuwa na sheria bora na rafiki. Akiwa amekalia kiti cha Ikulu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Dk. Mwinyi hakuchukua muda alitoa matamshi yenye mtazamo wa kupendelea waandishi wawe na uhuru zaidi wa kufanya kazi zao. Mara baada ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoa ripoti ya utendajikazi wa vyombo vya habari, mwaka 2021/2022, ikieleza kuwa Zanzibar inahitaji sheria “mpya kabisa” za kusimamia sekta ya habari. Serikali ilijikuta inakumbushwa jukumu au wajibu wa kufanyia kazi suala hilo, kwa kuwa li...