HABARI zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, daktari Is-haka Rashid Hadid ameachiwa huru na Mahakama ya Mkoa Wete.
Sababu kubwa ya kuachiwa ni pale mtoto aliyedai kubakwa na daktari huyo, kumkana mahakamani wakati akitoa ushahidi wake.
Makubwa zaidi sasa Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto huyo kwa kulidanganya Jeshi la Polisi
Je...unahitaji habari hii kwa upana wake endelea kufuatilia www.pembatoday.blogspot.com
Nionavyo polisi wametekeleza kazi yao ya msingi kutaka haki itendeke kwakosa alililo fanyiwa huyo mtoto baada ya kulalamika kwao sasa Kama yeye mtoto kaamua amuachie Assamese aa minions nisawa tu hio nimamuzi yake labda Kama kunakutenzwa nguvu Kama alivyo dainkulawitiw hapo sasa polish wasimaie kuona haki inatendeka
ReplyDelete