FOMU YA KUOMBEA NAFASI YA MKURUGENZI WA JUMUIA YA
WASAIDIZI WA SHERIA
CHAKE CHAKE – CHAPO
NB: MALIPO YA FOMU HII NI SHILINGI 2,500/.
- JINA LA MUOMBAJI: …………………………………………………………………………………
- UMRI………..JINSI…………SHEHIA…………………………………….JIMBO……………………………..
- TAREHE YA KUZALIWA
…………/……………./……..……….PAHALA………………………………………………….
- TAREHE YA KUCHUKUA FOMU……………………….……./…………....
.............../………………………………
- NAFASI UNAYOSHIKA KWA
SASA NI……………………………………………..KWA MUDA GANI……………
- NAMBARI YA UWANACHAMA………………………………MWAKA
ULIOJIUNGA ………………………………
- UDHAMINI KATIKA KUOMBA NAFASI HII
a) Jina
la Mdhamini wako………………………………………………………………Jinsi……………………………….
b) Nambari
ya simu……………………………………………..
c) Shehia
anayoishi………………………………………………………Jimbo……………………………………………..
d) Saini……………………………………………………………..
Tarehe……………………………………………………..
- UTHIBITISHO:
Mimi……………………………………………………………….……...nathibitisha kuwa
maelezo yote niliyoyatoa katika fomu hii ni ya kweli tupu kwa kadri nijuavyo
kuamini na kufahamu wangu.
Saini ya Muombaij………………………………………..… Tarehe………………………..……………………………………..
NB: Fomu hii,
katika uchaguzi mdogo wa kuomba nafasi ya Mkurugenzi, itatakiwa kujazwa kwa
herufu KUBWA na kwa kalamu BULUU pekee, na itarejeshwa ofisi za CHAPO sio zaidi
ya tarehe 29/8/2024, saa 9:00 alaasiri. Ikiwa na vielelezo vifuatavyo:- Fomu
husika, picha ya Mgombea, cheti cha usajili (CHAPO).
- KWA
MATUMIZI YA TUME YA UCHAGUZI TU.
Jina la Mwenyekiti………………………….…………………..saini………………………….tarehe…………………………….
Comments
Post a Comment